| Saaduni Haji Ally kushoto, Ashrafu, Mwinyi, Bestman Dullah na Anuary |
| Bw. Harusi mtarajiwa Saadun kulia na Bestman Dullah kushoto |
| Katika pozi la kusubiri kwenda ukumbini |
| Bw. Saaduni Haji Ally |
| Mrs. Malaila wa Ukweee Mwenyekiti kamati ya Maandalizi ya Sherehe |
| Nassoro Habibu shem wa Saaduni akitoa machache kwa bw harusi mtarajiwa |
| Mrs Mwemnjudi akitoa dozi kwa bw Saaduni |
| Mambo ya Zanzibari hayo, ni Mwanandege ndani ya nyumba |
| hakukuwa na mvua ni mambo ya asili hayo ilinogaje? |
| Maharusi wakitikisika na Mwanandege |
| Mwanandege ilikuwa ni kwa wote ukumbi mzima na mwamvuli nenda nao nyumbani, si michakavu hiyo ni mipyaaaa |
| Mrs. Malaila na Mrs Bundo waliipamba Mwanandege Barabara |
| Bestman Mr. Dullah akionyesha umahiri wa kuicheza Mwanandege |
| Mwanandege ilipokolea sasa ........ |
| kama kawaida nilikuwa makini kuchukua tukio adimu la mwanandege |
| sikupenda nikose tukio hili hata nilipoumwa na sisimizi nilitulia tuli. |
| Wageni waalikwa toka Sogea Zanzibar walihakikisha Mwanandege hakosewi ktk kuchezwa inavyotakikana |
| Wadau wa Sherehe ya Saaduni |
| Hassan haji Ndunda kushoto na Bw harusi Mtarajiwa Saaduni haji Ally |

0 Comments