HUDUMA ZETU
HVP STUDIO (HAJI'Z VIDEO PRODUCTION)
(The digital artist Video Professional)
inashughulika na upigaji picha za Video katika Sherehe mbalimbali kama vile:-
Harusi, Send Off Party, Kitchen Party, Komunio, Ubatizo, Misiba.
Utengenezaji wa Documentary (Makala Maalum)
Video za Muziki: Gospel, Taarab, Bongo Fleva na za Asilia.
Bei zetu ni nzuri na huduma zetu ni nzuri na utazifurahia. Kazi zetu zinakuwa katika full Editing na ubora wa hali ya juu.
HVP Studio Inamjali Mteja na tuko tayari kukuhudumia kwa asilimia 100%
0 Comments