UPDATED: MBIO WA BEACH MARATHON RONGONI BEACH RESORT - WASHIRIKI WA MBIO ZA BEACH MAEATHON WAKIPOKEA MEDALI
Baada ya Washiriki wa mbio za Beach Marathon kuhitimisha mbio zao za Kilomita 15, 10 na 5 washiriki wote walifika South Beach na kurudi Rongoni Beach Resort walipewa Medali.
 |
Washiriki wa Mwanzo kufika na kupata medali |
 |
Washiriki watoto pia walikuwa katika mbio hizi za ufukweni |
 |
Washiriki wengine walifika na familia zao katika ushiriki huu
|
 |
Katika ushiriki haikujalisha umri, jinsia, kabila wala uzito wa mtu
|
 |
Baada ya mbio za ufukweni washiriki pia walipata viburudisho vya Kashata maridhawa kabisa na tamu
|
Itaendelea tena wiki ijayo..................
0 Comments