MAAJABU

WAZAWA WA MAREKANI YA KASKAZINI

Mongoloids peoples

 Wazawa wa Marekani ya Kaskazini wanaaminika kuwa, walikuwa wenyeji wa Mongoloids, wawindaji wa mwanzo waliohamia kutoka katika bara la asia.

Ramani ya Amerika ya Kaskazini

 

 MTI WA RAGWEED



Mti mmoja huitwa Ragweed ndio unaoongoza kwa kutoa mbegu nyingi, mti huu hutoa mbegu zaidi ya bilioni moja


THE DIAMOND SUTRA



Diamond Sutra book

Diamond Sutra Book

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Kitabu kikongwe duniani ni kile kiitwacho "Diamond Sutra" kilichotengenezwa nchini China mnamo mwaka 868. Kitabu hiki kina sala za kibuda na maandishi mengi.

Post a Comment

0 Comments