UPDATED MAANDALIZI YA HARUSI BATHOLOMEO NA CECILIA

Cecilia na Batholomeo Garden Park Mjimwema Dar es Salaam tarehe 25 Septemba' 2012

Cecilia na Batholomeo Garden Park Mjimwema Dar es Salaam tarehe 25 Septemba' 2012

Cecilia na Batholomeo Sunrise Beach Mjimwema Dar es Salaam tarehe 25 Septemba' 2012

Cecilia na Batholomeo Sunrise Beach Mjimwema Dar es Salaam tarehe 25 Septemba' 2012

Cecilia na Batholomeo Sunrise Beach Mjimwema Dar es Salaam tarehe 25 Septemba' 2012

wakitafakari itakapofika siku ya harusi yao tarehe 29 Septemba' 2012

Cecilia na Batholomeo Sunrise Beach Mjimwema Dar es Salaam tarehe 25 Septemba' 2012

TAREHE 25 Septemba' 2012 Maharusi hawa watarajiwa walipata fursa ya kutembelea mahali walipoona panafaa kujadiliana namna maandalizi ya harusi yao yanavyokwenda na wapi hapajakaa sawia ili kurekebisha hiki na kile.

Kwa ujumla maharusi wamejipanga vizuri na wanaishukuru sana kamati ya maandalizi ya harusi yao namna anavyoiendesha vizuri kamati hiyo na karibu aslimia 99% kuwa imekamilika. na palipobakia maharusi hawa watarajiwa wanamuomba mungu awanyooshee njia na kuleta wepesi kwa kila jambo ili kila kitu kiende kama kilivyopangwa.

Endelea kufuatilia habari hizi kupitia blog hii ili upate muendelezo wa kila kitu hadi siku rasmi ya harusi na baada ya harusi. kesho tutawaletea clip za video zinazoonyesha maandalizi na baadhi ya viongozi na wajumbe wanasemaje kuhusiana na harusi hii.

Post a Comment

0 Comments