Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika Mkutano wa Viongozi wa nchi za
Maziwa Makuu wanaokutana katika ukumbi wa mikutano wa Munyonyo
Commonwealth Resort jijini Kampala Septemba 8, 2012. Picha na Ikulu.
Rais
Jakaya Kikwete na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi
Vuai Nahodha (kulia kwake) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajab Gamaha wakielekea kwenye
mkutano wa viongozi wa nchi za Maziwa Makuu wanaokutana katika Ukumbi wa
Mikutano wa Munyonyo Commonwealth Resort jijini Kampala Septemba 8,
2012. Picha na Ikulu.
0 Comments