Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
pamoja na ujumbe wake na wenyeji wakiongea na wanahabari na kisha kupiga
picha ya pamoja baada ya Mazungumzo yao Rasmi ya Kiserikali kati ya
nchi hizo mbili.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akitembezwa kuangalia shughuli mbalimbali zinazofanywa na wanafunzi
baada ya kufungua rasmi Jengo la Shule ya Ukarimu na Utalii ya Chuo
Kikuu cha Kenyatta.

akitembelea na kujionea shughuli mbalimbali za Taasisi ya Utatifi wa
Kilimo ya Kenya (KARI)

akigonganisha glasi na Rais Mwai E. Kibaki wakati wa Dhifa ya Kitaifa
katika hoteli ya Inter Continental.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akitembelea na kujionea shughuli mbalimbali za Taasisi ya Utatifi wa
Kilimo ya Kenya (KARI). (Picha zote na Ikulu)
0 Comments