HARUSI YAFANA NI SHUMA NA OLIVER

BW. HARUSI SHUMA MAFUWE NA BI. HARUSI OLIVER MSALILWA

Harusi ya Bwana Saashisha (Shuma) Elinikyo Mafuwe na Bi. Oliver Lufingo Msalilwa iliyofanyika jana katika Kanisa la Lutheran la Azania Front Jijini Dar es Salaam na kisha kufuatiwa na tafrija katika ukumbi wa Msimbazi Centre (Maranta Hall) Ilala Dar es Salaam imefana sana.

Akiongea na mwandishi na mtayarishaji wa makala hii, Mwenyekiti wa Kamati iliyosimamia mambo yote haya na yakaenda kama yalivyoratibiwa Bwana Efraimu Semu Mafuwe, alisema kwanza wanamshukuru mwenyezi mungu kwa kuwajaalia hadi kufikia hapo walipopafikia, pili wageni wote waalikwa na tatu kwa wazazi wote wa pande mbili kwa kushirikiana nao.

Pia aliwashukuru maharusi na kuichangamsha sherehe kwa staili yao ya kuchangamka ukumbini mwanzo hadi mwisho wa sherehe tunawapongeza sana. hakuishia hapo pia aliwashukuru kikundi cha vijana wa KIYOA (Kigamboni Youth Association) kwa kujitoa kwao na kujituma pia.

Pata picha za matukio hapa:







Matron na Bi. Harusi


Shangazi wa Bi. Harusi na Oliver







Gari lililobeba Maharusi Shuma na Oliver


Bwana Harusi Shuma Mafuwe


Patron Mr. Godfrey





















PC Makame (Mshereheshaji)

Shangazi wa Bi. Harusi na Baba Mzazi wa Bi> Harusi Mzee Lufingo Msalilwa

Patron na Matron Mr & Mrs Godfrey




Mwenyekiti wa Kamati Efraimu Semu Mafuwe

Cheers






Wazazi wa Bw. Harusi (Mzee Mafuwe)










Post a Comment

0 Comments