Kwa mujibu wa MissiePopular,
msanii maarufu wa Bongo Movie, Aunt Ezekiel ameolewa. Stori hiyo
haikufafanua ameolewa na nani ila tu imesema kwamba ameolewa katika
harusi ya Kiislam.
Picha
ya kwanza Aunt akitabasamu katika shughuli hiyo. Picha ya pili akisaini
hati ya ndoa kuiweka ofisho! Hongera Aunt! Picha zote kutoka MissiePopular
0 Comments