KHERI YA EID EL FITRI, TUSHEREHEKEE KWA AMANI NA UTULIVU TULIOJIWEKEA WATANZANIA. MAKOSA AMBAYO YALIYOKWISHA TOKEA SIKU ZILIZOPITA ZA WAZAZI KUWAACHA WATOTO WANATEMBEA PEKEE YAO BILA WAZAZI MTINDO HUO UACHWE NA KUWAACHA WANAKWENDA KATIKA KUMBI ZA STAREHE ZISIZOKUWA NA USIMAMIZI MZURI NA KUPELEKEA MAAFA. NAOMBA TUJIFUNZE KWA YALIYOKWISHA TOKEA, AHSANTENI SANA IDD NJEMA.
0 Comments