MAANDALIZI YA HARUSI PETER JOHN NA BI. NEEMA MMARY TRH 15 OCT 2016

MAANDALIZI YA SHEREHE YA HARUSI YA BW. PETER JOHN NA BI. NEEMA MMARY


MASIKIO NA MATEGEMEO YA NDUGU NA JAMAA WA BW PETER NA BI NEEMA YANASIKILIZIA KWA UMAKINI SHEREHE YA WATOTO WAO INAYOTARAJIA KUFANYIKA TAREHE 15 OKTOBA 2016 SIKU YA JUMAMOSI KATIKA KANISA LA KKKT YOMBO KUU NA KISHA KUFUATIWA NA TAFRIJA KATIKA UKUMBI TULIVU WA LAMADA INN JIJINI DAR ES SALAAM.


MAANDALIZI YA SHEREHE HII YALIKUWA YAKIONGOZWA NA MWENYEKITI WA KAMATI BW. KARUME MUSHI AKISAIDIWA NA KATIBU BI. ANNA NICHOLAUS HUKU MTUNZA VICOBA AKIWA NI BI. MARIA BARAKAEL.



Bw Peter na Bi Neema katika pozi wakitafakari kuhusu harusi yao

Bw Peter na Bi Neema wakiwa na Videographer wao wa siku ya harusi ya Bw. Hassan Haji Ndunda kutoka HVP Studio (Haji'z Video Pro.) "Asili na Halisi Haipotei"

Bw Peter na Bi Neema katika pozi wakitafakari kuhusu harusi yao

Bw Peter na Bi Neema wakipeana matumaini kuwa sasa ile ahadi yetu ya kuwa Mume na Mke inaenda kutimia


Bw Peter na Bi Neema hawana shaka tena kwani mambo yameshaiva

Bw Peter na Bi Neema wakijivinjari sehemu mbalimbali siku chache kabla ya harusi yao

Bw Peter katika furaha murua kusubiria siku ya harusi yao

Bi Neema katika pozi pasina shaka kuelekea siku ya harusi yao

Bw Peter na Bi Neema



Bw Peter na Bi Neema wakilishana tunda adimu na muhimu la apple kiashirio wameyashinda yote sasa ni maisha ya ndoa tu

Bw Peter na Bi Neema wakionyeshana na sehemu watakapokuwa baada ya kufunga ndoa

Bw Peter na Bi Neema wakiwa na tabasamu na bashasha tele na wenye afya tele kwa uwezo wake mwenyezi mungu

EEEEEEEH! Mwenyezi mungu IBARIKI ndoa yetu na shughuli zote za HARUSI ziende vizuri kwa uwezo na baraka zako wewe mwenyezi mungu uwaepushie mikosi na husuda za wanaadamu na ndoa hii iende kubarikiwa sawasawa na mapenzi yako - Amen

HVP STUDIO (HAJI'Z VIDEO PRO) Asili na Halisi Haipotei Kama kawaida tutakuwepo kusababisha upande wa matukio ya Picha za mnato na mtembeo (video) katika kiwango cha 4D na ubora wa kipekee kabisa.

Siku zote mti wenye matunda ndio hupigwao mawe lakini kila mwaka unazaa matunda katu hauchoki, epukana na propaganda na "last saying" kiukweli hatuna mshindani. 
Videographer: Hassan Haji Ndunda
Assistant & Video Controller: Abnad Khaider
Still Picture: Mbwana Ally Mfaki
Welcome again HVP STUDIO 

Post a Comment

0 Comments