UPDATED: ALMAR KUPATA SHAHADA YAKE

Bi. Almar (Najma) Abdallah Maganga

Zimebakia siku chache kutimia kwa ndoto ya Mwanadada Almar Abdallah Maganga kuikamatia Shahada yake ya Ustawi wa Jamii katika Mahafali yatakayofanyika tarehe 21 Desemba' 2012 pale katika Taasisi ya Ustawi wa jamii iliyopo Kijitonyama Jijini dar es Salaam.

Na kisha tafrija fupi ya kumpongeza itakayofanyika Nyumbani kwa wazazi wake mr & Mrs Abdallah Maganga "Dullah" pale mitaa ya ngorongoro Chang'ombe Dar es Salaam.

Pamoja siku hazijatimia lakini kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu HVP Studio tunatanguliza Pongezi zetu za dhati kwa Binti, Wazazi, Ndugu, Familia zilizojitoa kwa njia moja ama nyingine kufanikisha masomo na kufikia binti huyu kujinyakulia Shahada yake Mwenyezi Mungu Awazidishie mlipopapunguza na kumuombea binti asonge mbele zaidi.

Post a Comment

0 Comments