UZINDUZI WA FUNGAKAZI MODERN TAARAB

KUNDI JIPYA LA MUZIKI WA MWAMBAO (TAARAB) LA FUNGAKAZI MODERN TAARAB LIMEFANYA UZINDUZI WA KUNDI NA ALBUM YAKE MPYA IJULIKANAYO KAMA FUNGAKAZI KATIKA UKUMBI WA NYUMBANI NEW MIAMI PUB (CCM POLISI KIGAMBONI) CHINI YA MKUU WA KUNDI HILO KAPTENI TEMBA

Kundi zima la Fungakazi Modern Taarab siku ya vunja jungu ukumbi wa New Miami Pub (CCM Polisi Kigamboni Dar es Salaam


Fungakazi Modern Taarab kutoka kushoto Rahma Machupa, Capt Temba, Zainab Machupa na Red Beauty Ashura Machupa


Thabiti Abdul na Capt Temba ndani ya Uzinduzi


Thabiti Abdul


Capt Temba akiimba wimbo wa Nimeiteka Himaya uliomo katika album ya Fungakazi Modern Taarab


Zainab Machupa na Ashura Machupa kazini



Red Beauty Ashura Machupa akiimba wimbo mpya


Red Beauty Ashura Machupa na Mama wa Mkurugenzi wa Fungakazi Modern Taarab Capt Temba (Mamaa Bishoo)


Aunt Latifa (Wakili wa Wajawazito) naye alikuwepo akiwa ni mlezi wa Fungakazi Modern Taarab


Wasanii wa TOT Taarab walikuwepo kuipa tafu Fungakazi Modern Taarab


Bi. Khadija Omar Kopa (Hondohondo mlezi wa wana) alipanda jukwaani na full stop kumpa tafu Capt Temba na kundi zima la Fungakazi Modern Taarab


Mlezi wa Wana Bi. Khadija kopa akipaformu full stop


Fungakazi na wapigapicha wa kundi hilo HVP Studio Hassan Haji Ndunda na Salum Diva Sasamalo


Capt Temba na Mussa Kijoti toka Five Star Modern Taarab


Mussa Kijoti toka Five Star akiimba wimbo wa NICHUMU


Mussa Kijoti


Mussa Kijoti na NICHUMU nichumu

Post a Comment

0 Comments