Bi. deborah Joel Mwambalaswa muda mfupi baada ya kupata Kipaimara |
Bi Deborah Joel Mwambalaswa leo katika Kanisa la KKKT Magogoni Kigamboni Dar es Salaam amekamatia nafasi muhimu ya safari ya maisha yake baada ya kupata Kipaimara. Bi. Deborah binti mwelevu na pekee katika familia ya Bwana na Bibi Joel Mwambalaswa amehitimisha nafasi hii katika maisha yake upande wa kidini.
Kanisa la KKKT Magogoni Kigamboni Dar es Salaam |
Tafrija fupi ya kumpongeza Bi. Deborah ilifanyika nyumbani kwao Navy Kigamboni Dar es Salaam kwa Shamra shamra na nderemo za wageni waalikwa, ndugu, marafiki na kikundi cha kwaya ya Uinjilisti toka KKKT Magogoni.
Waimbaji wa Kwaya ya Uinjilisti Kanisa la KKKT Magogoni kigamboni wakitoa burudani katika tafrija ya Deborah Navy Kigamboni |
Deborah kushoto na mpambe wake katika pozi adimu |
Deborah na Mpambe wake Beach |
Deborah na Mdogo wake |
Mama Mdogo wa Deborah kushoto (Neema), Debora na mpambe |
Mama Mdogo wa Deborah kushoto (Neema), Debora na mpambe wakiwa Beach Mwl Nyerere Memorial College |
Deborah na Mama yake mdogo (Neema) |
Deborah Joel Mwambalaswa |
Mpambe wa Deborah |
Deborah akimlisha keki Baba yake mzazi Mr. Joel Mwambalaswa |
Deborah akimlisha Mama yake mzazi keki |
Deborah wakilishana keki na mpambe wake |
Bi. Deborah Joel Mwambalaswa |
Deborah na wazazi wake Mr & Mrs Mwambalaswa |
Baba na Mwana |
Mama Na Mwana |
Familia nzima ya Mr & Mrs Mwambalaswa |
0 Comments