GREEN APPLE KIGAMBONI DUKA LINALOKIMBIZA KWA MAVAZI NA VIPODOZI


Green Apple ni Duka la Mavazi ya Kike na Watoto pamoja na vipodozi adimu hapa nchini, duka ambalo lipo katika lango kuu uingiapo Kigamboni, lina kila aina ya bidhaa zilizokatika chati mara tu uingiapo ndani ya duka hili.

Kwa Kigamboni Duka hili halina mpinzani kwani bidhaa zake ni nzuri zinazoendana na wakati. Usisite kuwatembelea na kujipatia bidhaa zako, hakuna haja ya kuvuka kwenda Kariakoo na maeneo mengine jijini Dar es Salaam kwa kupoteza nauli yako na hata kuibiwa na wajanja. Pia utapata nguo za usiku na Mikoba mizuri inayokwenda na wakati.

Lina wauzaji mahiri wenye aiba na wateja wao na chochote unachokihitaji kama nguo au vipodozi utapatiwa maelekezo mazuri. Kuwa mtu wa kisasa kwa kutembelea GREEN APPLE FERRY KIGAMBONI


Wauzaji wa Green Apple Ferry Kigamboni kutoka kushoto Chum Idarusi na Haruna Shaban wakiwa tayari kuwahudumia wateja.



Sharifa Seif akiwa tayari kuwahudumia wateja Green Apple Ferry Kigamboni Dar es Salaam

Bidhaa wanazoziuza ni nyingi sana, ebu watembelee leo au kwa maulizo zaidi au kutia oda ya kitu ulichokipenda au kuagiza wapigie kwa nambari hizi za simu:

+255 719 689 668 au +255 658 252 991 na +255 716 299 818

Ona baadhi ya bidhaa zao hapa chini:









Post a Comment

0 Comments