Bwana harusi Emmanuel Mwangosi akimvisha pete mkewe Magreth Mtebe
huku bibi harusi akiwa katika furaha kubwa na kumshukuru Mungu kwa
kumuepusha mumewe katika ajali iliyotokea usiku wa kuamkia Jumamosi.
Bwana
harusi Emmanuel Mwangosi akiwa na mkewe Magreth Mtebe mara tu baada ya
kufunga pingu za maisha jana katika Kanisa la Agape Jakaranda jijini
Mbeya.
Hii
ndiyo ajali aliyopata bwana harusi Emmanueli aligongwa na gari aina ya
Toyota GX 100 Emmanuel yeye alikuwa anaendesha pikipiki usiku wa
kuamkia Jumamosi mida ya saa sita na nusu usiku alikuwa anaenda kwenye
mkesha kanisani ndipo ajali hiyo ikatokea maeneo ya Mafiati Mbeya wengi
wa mashuhuda hao walijua mwendesha pikipiki hiyo amekufa papo hapo.
Hakika ni furaha hapa bwana harusi anamtambua mkewe kwa kumfunua shela kabla ya ndoa kufungwa.
Bwana na bibi harusi wanaingia kanisani tayari kwa ibada ya ndoa.
Sasa tu mwili mmoja kitakachotutenganisha ni kifo tu jina la bwana libarikiwe.
Wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kufunga ndoa.
0 Comments