SUMA LEE & LINEX WATOKA NA VIDEO YA “BODA BODA”




Kundi jipya lililoundwa na wasanii wakali kutoka Kigoma na Tanga kwa jina la “Kigotang“, Suma Lee na Linex sasa wameachia video ya ngoma yao “Boda boda” baada ya kutamba kwa muda mwingi kwenye radio stations.

Mzigo mzima wa video hiyo umetengenezwa na director John Kallage chini ya kampuni yake kwa jina la Kallage Pics.Kuwa wa kwanza kuicheki video hiyo hapa chini:

 

  • Artists: Linex & Suma Lee

  • Track: Boda boda

  • Album: Single

  • Audio producer: Fundi Samweli

  • Studio: Usanii Production

  • Director: John Kallage

  • Video Production: Kallage Pics

Post a Comment

0 Comments