SEND OFF PARTY YA GEORGINA YAFANA

Bi. Georgina katika na wapambe wake

Licha ya kutokea kwa katizo la umeme lilikuwa linataka kuathiri Sherehe ya Send Off ya Bi. Georgina Lucas Hokororo, lakini sherehe hiyo imefana kwa kiasi kikubwa ikitawaliwa na nderemo hoihoi na vigelegele.

Bi. Georgina na Matron wake Bi. Grace Malange

Shukrani za pekee zimwendee Mwenyekiti Kanali (Mstaafu) GJ Kashaija kwa kuliongoza vyema gurudumu la Sherehe hii na kulifikisha kileleni salama. Pongezi kwa Wanakamati, wageni waalikwa waliotoa michango yao ya hali na mali katika kulifanikisha hili. Pongezi maalum kwa wazazi wa Bi. Harusi mtarajiwa kwa kumlea na kisha kumpata wa kuanza nae maisha.

kutoka kushoto Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi Kanali (Mstaafu) GJ Kashaija na Mjumbe wa Kamati

Shukrani Pia ziende kwa Mshereheshaji wa Sherehe hii MC Mkini (Maluchuluchu) kwa kuiongoza sherehe hii kwa uhodari mkubwa na umahiri wa hali ya juu, bila kuwasahau Ma-Dj wake waliojipanga kisawasawa DJ Silla na DJ Beka. kwa watakaomuhitaji MC Mkini anapatikana kwa nambari hizi za simu: 0713 761456 na 0763 768299

Wazazi wa Georgina

Sisi wa HVP Studio mimi mwenyewe Camera Operator Mr. Hassan Haji Ndunda au kama ninavyojulikana kwa jina la Haji nikishirikiana na Crew yangu Mr. Lutambi (Mtalabani) upande wa Still Picture na Mr. Juma katika upande wa Video Controller. tunaishukuru Kamati, wazazi na wote wanaotupenda. Huduma zetu zimeboreshwa kwa kiwango cha juu hapa Dar es Salaam na Tanzania kwa Ujumla. Kama mpetupenda tupeni kazi

Frank Bwana Harusi Mtarajiwa na Bi. Georgina Bi. Harusi Mtarajiwa

Endelea kufuatilia habari hizi ili upate picha zaidi za tukio hili ........

Post a Comment

0 Comments