Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe.
Joshua Nassari katika hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa barabara za jiji la
Arusha. PICHA NA IKULU
Rais Jakaya Kikwete katika sherehe za kuzindua rasmi ujenzi wa barabara za jiji jipya la Arusha
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akionesha ufunguo aliokabidhiwa na Meya wa Jiji
la Arusha Mstahiki Gaeudence Lytimo mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la
Arusha katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakati wa sherehe za
kihistoria za kuuzindua rasmi mji huo wa kitalii kuwa jiji. PICHA ZOTE
NA IKULU
0 Comments