Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, marehemu Liberatus Barlow |
“Baada ya kuonyesha vilipokuwa vimefichwa, ilibidi kumtaarifu mwenye nyumba ambaye alitoa idhini ya kubomolewa kwa shimo hilo la majitaka na mmoja wa watuhumiwa aliingia na kutoa ‘radio call’ pamoja na funguo za gari la marehemu,” alisema Kamanda Matola.
Sheilla Sezzy, Mwanza
0 Comments