Watu wawili wamekutwa na mashahibu ya mwaka baada ya kukutwa wakiwa wamegandiana kutokana na kuvunja amri ya sita (kufanya mapenzi) kwenye Gesti moja Temeke jijini Dar es Salaam. Mashahibu hayo yamewakuta wawili hao baada ya njemba moja kuchukua mke wa mtu ambaye inasemekana kuwa amefungwa kitamaduni kwamba yeyote atakayejaribu kumgusa kinyume na taratibu basi atanasa, na hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa njemba iliyoiba mke huyo kwenda kula naye raha kwenye nyumba ya wageni huko Temeke.
![]() |
Wananchi waliojazana hospitali ya Temeke kuwashuhudia waliogandana |
0 Comments