Foleni ya pikipiki zikisubiri kupata huduma ya nishati ya mafuta ambayo imeadimika kiasi kikubwa mkoa Mbeya hivi sasa.
Kutokana
na tatizo la kuadimika kiasi kikubwa kwa mafuta, baadhi ya vijana
wamepata ajira isiyo rasmi kwa kununua mafuta hayo vituoni na kwenda
kuyauza kwa wahitaji. Petroli wanauza sh. 5,000 kwa lita moja. Vijana
hawa hupanga foleni na hata kulala vituoni wakisubiri huduma hiyo,
pichani wakionekana kuchoka na hata kulala kituoni hapo kusubiri kupata
mafuta na kwenda kuyauza kwa bei ya juu.
Bei
halisi ya mafuta ni hiyo lakini sasa walanguzi bei imepanda kwa aina ya
mafuta ya petrol lita moja kwa sh. 5,000 mpaka sh 6000 kwa lita moja
Foleni kituo cha mafuta
0 Comments