SHOOTING YA VIDEO MPYA ZA CAPT TEMBA HIZI HAPA

Kutoka kushoto "Red Beauty" Ashura Machupa na Anti Hanifa " Jike la Chui"

SHOOTING  ya nyimbo mbili za muziki wa Taarab za kundi zima la FUNGAKAZI MODERN TAARAB chini ya Usimamizi wa Mkurugenzi Msaidizi  Kapteni Temba zimefanyika vizuri na hivi karibuni zitakuwa jikoni tena kukimbiza na kukamilisha Album nzima ya Funga Kazi, mashabiki wa fungakazi kaeni mkao wa kula.


Nyimbo hizo zinazokamilisha album hiyo zilizofanyiwa shooting ni ule uitwao Nimeiteka Himaya uliotungwa na Kapteni Temba, muziki thabiti Abdul na kuimbwa na Kapteni Temba na Anti Hanifa. Wimbo mwingine katika shooting hiyo ni ule uitwao Mambo yangu yanawahusu nini aliotungwa na Kapteni Temba, kutiwa muziki na Ali J. na kuimbwa na Mwanadada "Red  Beauty" Ashura Machupa.

Capt Temba


Camera Operator Hassan Haji Ndunda toka HVP Studio na Senior Detective Bachelor




Camera Operator Salum Diva Sasamalo in action


Camera Operators Hassan Haji Ndunda na Salum Diva Sasamalo toka HVP Studio


Ashura Machupa Katikati na Anti Hanifa mwisho kulia katika mambo yangu yanawahusu nini



Ashura Machupa na Anti Hanifa


Ashura Machupa


Hassan Haji Ndunda


Salum Diva Sasamalo




Senior Detective Bachelor






Capt Temba





Post a Comment

0 Comments