Sheikh Ponda akamatwa na polisi

KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda amekamatwa na polisi. Inasemekana Sheikh Ponda amekamatwa kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo ya uchochezi dhidi ya Serikali. Watu wanaosaidikiwa kuwa ni wafuasi wa Ponda wamekusanyika katika kituo cha Polisi Kati Jijini Dar es Salaam kushinikiza kiongozi wao huyo anayeshikiliwa polisi aachiwe.

Chanzo: IPP Media na Global Publishers
sheikh ponda Sheikh Ponda akamatwa na polisi
Sheikh Ponda Issa Ponda. Picha kutoka: Zanzibar ni kwetu

Post a Comment

0 Comments