Polisi wa kutuliza ghasia wakisimamia zoezi la
ubomoaji hiari wa nyumba kandokando ya Mto Msimbazi eneo la Kinondoni
Hananasif, Dar es Salaam jana. Zaidi ya nyumba 100 zimebomolewa kwenye
eneo hilo ili kuwalazimisha wakazi wake kuhamia maeneo salama na
kuondoka eneo hilo kwa kuhofia mafuriko. Hata hivyo wakazi hao wamelaumu
kwa kutopatiwa mahema na vyoo kwenye maeneo waliyotakiwa kwenda huko
mabwepande.
Na Moshi Lusonzo
0 Comments