Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal,
akimfariji mke wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus
Barlow, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Ukonga jijini Dar es
Salaam, leo Oktoba 16, kushiriki katika shughu za msiba huo na kutoa
heshima za mwisho wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa marehemu huyo
aliyeuawa hivi karibuni jijini Mwanza. Picha na OMR

akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, wakati alipofika nyumbani
kwa marehemu Ukonga jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 16, kushiriki
katika shughu za msiba huo na kutoa heshima za mwisho wakati wa shughuli
ya kuaga mwili wa marehemu huyo aliyeuawa hivi karibuni jijini Mwanza.
Picha na OMR
0 Comments