Burudani ikiendelea kutolewa kwenye viwanja vya Mwembeyanga ikiwa ni maandalizi ya Serengeti Fiesta 2012 Jijini Dar es Salaam.
Mmoja
wa watangazaji wa Clouds pichani kati, Antu Mandoza akiwa na baadhi ya
washabiki wakubwa wa Tamasha la Serengeti Fiesta 2012, ndani ya viwanja
vya Mwenge Yanga, Temeke jijini Dar mapema leo wakati heka heka za lala
salama kuelekea kwenye kilele cha tamasha hilo litakalofanyika katika
viwanja vya Lidaz Club, Kinondoni jijini Dar, ambapo Msanii wa Kimataifa
kutoka nchini Marekani, Rick Ross atatumbuiza.
Antu
Mandoza, akimhoji Mwanadada Diana mara baada ya kujishindia kiasi cha
shilingi 25,000/= pamoja na fulana ya fiesta mapema kwenye viwanja vya
Mwembeyanga, wakati heka heka za lala salama kuelekea kwenye kilele cha
tamasha hilo litakalofanyika katika viwanja vya Lidaz Club, Kinondoni
jijini Dar, ambapo Msanii wa Kimataifa kutoka nchini Marekani, Rick Ross
atatumbuiza.
Mmmoja
washabiki wa tamasha la fiesta akizungumza kwa ufupi kuhusiana na
tamasha hilo litakalorindima siku ya jumamosi kwenye viwanja vya Lidaz
club, Kinondoni jijini Dar.
Mtangazaji
wa Clouds TV, kupitia kipindi cha Mwanadarsalama, Mussa Husein pichani
kulia akiwauliza maswali baadhi ya watu kwa ajili ya kujishindia zawadi
mbalimbali zinazotolewa wakati heka heka za lala salama kuelekea kwenye
kilele cha tamasha hilo litakalofanyika katika viwanja vya Lidaz Club,
Kinondoni jijini Dar, ambapo Msanii wa Kimataifa kutoka nchini Marekani,
Rick Ross atatumbuiza.
Babu nae alikuwepo.
Shughuli kama hizi huwapatia vipato kwa namna moja ama nyingine baadhi ya watu. Angalia hapa..!
Mratibu
wa kuelekea kilele cha tamasha la Serengeti Fiesta 2012, Mully B
pichani kushoto akibadilishana mawazo na Mussa Husein, pichani kati ni
dada Diana mkazi wa Temeke aliyejishindia fulana na sh 25,000/=
Bhaassss.
Panaposhughuli
za Serengeti Fiesta huduma kama hizi hazikosekani, kuwajali wapenzi na
washabiki wake kwa namna moja ama nyingine.











0 Comments