HVP STUDIO KUIPUA KASWIDA MBILI MADRASAT SHAQIYQYAIN TEMEKE KATA YA 14

Na Hassan Haji Ndunda

MADRASAT SHAQIYQYAIN iliyopo Mtaa wa leo. Kata ya 14 wilayani temeke katika mkoa wa Dar es Salaam. ndani ya wiki moja kuanzia sasa itaipua nyimbo zake mbili za Video za Qasida zitakazokuwa na maudhui na mafunzo mema kwa jamii ya Kiislamu na kuburudisha pia.


Video hizo ambazo tayari zilifanyiwa shooting yake muda mrefu zinatarajia kutoka hivi punde takribani baada ya siku chache kadhaa kwenye majaaliwa ya mwenyezi mungu.


Katika Qaswida ya Salam imeimbwa na Maryam Binti Juma na ile ya pili iitwayo HARUSI imeimbwa na Hawa Binti Kilimo


Usimamizi wa kazi hii umesimamiwa na Sheikh Ramadhan Juma, Sheikh Ndurd, Ustadh Khalid Abdallah, Ustadh Ally Abdallah na Ustadh Hilal wote kwa pamoja wamefanikisha ukamilifu wa masuala haya.


Production nzima na ladha adimu ya picha imefanywa na HVP Studio (Haji'z Video Production) yenye maskani yake pale Kigamboni wilaya ya Temeke ndani ya Jiji la Dar es Salaam


Madrasat shaqiyqyain Temeke dar es Salaam


 
























Video hizi zimechelewa kutoka kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wa kampuni ya HVP studio chini ya Mkurugenzi wake hassan Haji Ndunda.

Post a Comment

0 Comments