GARI
la Kusafirishia fedha mali ya Kampuni ya Security Group 4 likiwa
limebata pancha katika moja ya ATM za Benki ya NMB likiwa kazini. Tukio
hilo lililoleta usumbufu kwa wateja wa Benki ya NMB waliolazimika
kuzuiwa kusogea eneo hilo kutoa fedha ATM hadi mambo yawekwe sawa
limetokea eneo la Buguruni Sokoni Jijini Dar es Salaam jana. (Picha na
mpiga picha wa Thehabari.com)
0 Comments