Baadhi ya Kazi feki za Wasanii zilizokatwa |
Msanii Mohamed’NICE’akilia kwa Uchungu baada kukuta Kazi feki zikiuzwa katika moja ya Maduka |
Mtuhumiwa wa kudurufu Kazi za Wasanii akiwa chini ya Ulinzi baada ya kukamatwa |
Wasanii Mzee Yusufu na Mohamed Nice wakiwa katika Duka lililokamatwa kwa kuuza Kazi feki katika Msako uliofanywa wakishirikiana na Kampuni ya Steps Entertainment |
0 Comments