LISA AELEKEA CHINA KUJINYAKULIA TAJI LA UMISS WORLD

LISA JENSEN AELEKEA NCHINI CHINA KUWANIA TAJI LA MISS WORLD 2012...!!!

LISA JENSEN
Miss World Tanzania 2012, Lisa Jensen akipunga mkono wakati akiondoka katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akielekea nchini China kushiriki shindano la Miss World 2012. Lisa anaiwakilisha Tanzania katika shindano hilo.
Lisa akisikiliza jambo kutoka kwa Mkurugenzi wa Lino International Agency, Waandajai wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga (hayupo [...]


MWANADADA aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 2006 na kushika nafasi ya 3 Lisa Jensen, amefunguka na kusema kuwa anaipenda fani ya mitindo kuliko kitu kingine chochote katika maisha yake ingawa anafanya filamu kwa sasa.
Kipaji chake cha filamu kilianza kuonekana katika kazi kama ‘More than Pain’, ‘Full moon’, ‘Fake Pastors’ na nyingine ambazo zote zilimuweza katika [...]


Post a Comment

0 Comments