Rais Dk.Jakaya Kikwete alipokutana na Rais wa
Malawi Joyce Banda mjini Maputo Msumbiji jana asubuhi kuzungumzia
mgogoro wa mpaka kati nchi hizo uliopo katika Ziwa Nyasa. Wakati wa
mazungumzo hayo Marais hao wawili wameelezea nia ya nchi zao kufikia
suluhu kwa njia za kidiplomasia kupitia kamati maalum iliyoundwa
kushughulikia mgogoro huo.
0 Comments