HAYAWI HAYAWI SASA YATATIMIA MNAMO TAREHE 29 NOVEMBA' 2014 HARUSI YA BW. TUMAINI
|
Mdogo wa Bwana Harusi
|
|
Tumaini na Mkewe Mtarajiwa
|
|
Tumaini na Mkewe Mtarajiwa
|
|
Tumaini na Mkewe Mtarajiwa
|
|
Tumaini na Mkewe Mtarajiwa katika pozi la Maandalizi ya harusi
|
|
Tumaini na Mkewe Mtarajiwa
|
|
Tumaini na Mkewe Mtarajiwa wakila upepo wa Beach
|
KAMATI YA HARUSI INAONGOZWA NA BW J.B. YAMBA, KATIBU BW. D. TEKWA. MWEKA HAZINA M. KYENGANZI.
SHEREHE ITAKAYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA LUNCH TIME HOTEL - MABIBO HOSTEL DAR ES SALAAM, HUDUMA ZA CHAKULA ZITATOLEWA NA LUNCH TIME HOTEL MABIBO
SHEREHE ITAONGOZWA NA MC MAHIRI MC ERICK PAUL. MAPAMBO NA KEKI FURAHI LUGOE (MC ULIZA)
BESTMAN NA MATRON NI MR & MRS ONESMO BARWONGEZA NA FLOOR MANAGER AKIKAMATIA MR. J.B. YAMBA
CAMERAMAN: HASSAN HAJI NDUNDA TOKA HVP STUDIO
0 Comments