HARUSI MARSHALA & ROZINA

SHEREHE YA HARUSI KATIKA YA BW, MARSHALA JACKSON NA BI. ROZINA

ILIYOFANYIKA TAREHE 4 AGOSTI' 2012 KATIKA KANISA LA KISIMA CHA REHOBOTH UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM NA KISHA TAFRIJA KATIKA UKUMBI WA LANDMARK HOTEL UBUNGO KARIBU NA RIVERSIDE UBUNGO DAR ES SALAAM.

SHEREHE ILITAWALIWA NA NDEREMO NA VIFIJO KWA WAZAZI, KAMATI YA MAANDALIZI NA WAGENI WAALIKWA WALLIOHUDHURIA KATIKA SHEREHE HIYO

Rozina na Matron wake The Crab Classic Salon Mabibo


Matron na Rozina The Crab Classic Salon Mabibo


Waimbaji wa Kanisa la Kisima cha Rehoboth Ubungo Dar es Salaam


Marshala kulia akiwa na Patron wake mara baada ya kuingia Kanisani


Pastor Charles aliyefungisha ndoa ya Marshala na Rozina


Marshala akihakikisha kuwa ndiye Rozina kweli? katika Kanisa la Kisima cha Rehoboth Ubungo Dar es Salaam



Waimbaji Kanisa la Kisima cha Rehoboth Ubungo Dar es Salaam


Rozina pokea pete hii iwe ishara ya upendo wangu kwako na hata milele



Mara baada ya kiapo cha ndoa Marshala akitoa neno katika Kanisa la Kisima cha Rehoboth Ubungo


Bi. Harusi Rozina


Maharusi na wasimamizi wao wa ndoa EPZA Mabibo



Marshala na Rozina EPZA Mabibo Dar es Salaam


Maharusi, Mzee James Dandu, Mama Marshala, Mama mdogo na wasimamizi wa ndoa


Flower Girl and boyz katika pozi EPZA Mabibo


Maharusi na ndugu zao


Marshala & Rozina EPZA Mabibo



Marshala & Rozina EPZA Mabibo External




Mzee James Dandu (Baba mzazi wa marehemu Cool James Mtoto wa Dandu) na Mama Marshala


MC: Sylvester Malilo


Wazazi wa Rozina Ukumbini Landmark Hotel Ubungo



Mzee James Dandu (Baba mzazi wa marehemu Cool James Mtoto wa Dandu)


Mzee James Dandu (Baba mzazi wa marehemu Cool James Mtoto wa Dandu) akitoa nasaha kwa Mjukuu wake Marshala


Wakati wa maakuli


Marshala na Comandoo wa Yesu (Mama Singiri)



Post a Comment

0 Comments